Match Results

0   : 0
 • JKT
 • KMC
Match Details
0   : 1
 • MBAO FC
 • YANGA
Match Details
0   : 2
 • MBEYA CITY
 • BIASHARA UNITED
Match Details
2   : 1
 • COASTAL UNION
 • MWADUI FC
Match Details
2   : 1
 • POLISI TANZANIA
 • SINGIDA UNITED FC
Match Details
1   : 1
 • TANZANIA PRISONS
 • KAGERA SUGAR
Match Details
1   : 1
 • MBAO FC
 • RUVU SHOOTING
Match Details
1   : 0
 • NAMUNGO FC
 • LIPULI FC
Match Details

POINTS TALLY VPL view all VPL view all VPL view all

TOTAL HOME AWAY
# Team PLD GD PTS
1. SIMBA SC 4 8 12
2. NAMUNGO FC 6 2 10
3. KAGERA SUGAR 6 0 10
4. AZAM FC 3 4 9
5. TANZANIA PRISONS 5 3 9
6. RUVU SHOOTING 6 1 9
7. LIPULI FC 5 2 8
8. JKT 6 -1 8
9. POLISI TANZANIA 4 1 7
10. YANGA 4 1 7
11. COASTAL UNION 5 1 7
12. MWADUI FC 6 0 7
13. MBAO FC 7 -1 7
14. ALLIANCE 5 0 6
15. KMC 5 -2 5
16. MTIBWA SUGAR FC 6 -4 5
17. MBEYA CITY 5 -2 4
18. BIASHARA UNITED 6 -4 4
19. NDANDA FC 6 -4 3
20. SINGIDA UNITED FC 6 -5 2
1. NAMUNGO FC 4 4 10
2. AZAM FC 2 3 6
3. COASTAL UNION 2 3 6
4. POLISI TANZANIA 2 2 6
5. LIPULI FC 3 2 5
6. MWADUI FC 3 1 5
7. MBAO FC 5 -1 5
8. TANZANIA PRISONS 2 1 4
9. RUVU SHOOTING 2 1 4
10. YANGA 3 0 4
11. KMC 3 0 4
12. SIMBA SC 1 1 3
13. NDANDA FC 3 -1 2
14. MBEYA CITY 3 -2 2
15. JKT 4 -3 2
16. ALLIANCE 2 -1 1
17. SINGIDA UNITED FC 2 -1 1
18. MTIBWA SUGAR FC 2 -2 1
19. KAGERA SUGAR 2 -4 0
20. BIASHARA UNITED 3 -5 0
1. KAGERA SUGAR 4 4 10
2. SIMBA SC 3 7 9
3. JKT 2 2 6
4. TANZANIA PRISONS 3 2 5
5. ALLIANCE 3 1 5
6. RUVU SHOOTING 4 0 5
7. BIASHARA UNITED 3 1 4
8. MTIBWA SUGAR FC 4 -2 4
9. AZAM FC 1 1 3
10. YANGA 1 1 3
11. LIPULI FC 2 0 3
12. MBAO FC 2 0 2
13. MBEYA CITY 2 0 2
14. MWADUI FC 3 -1 2
15. POLISI TANZANIA 2 -1 1
16. COASTAL UNION 3 -2 1
17. KMC 2 -2 1
18. NDANDA FC 3 -3 1
19. SINGIDA UNITED FC 4 -4 1
20. NAMUNGO FC 2 -2 0

Latest News

 • AZAM FC KESHO IJUMAA ITASHUKA KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX, CHAMAZI KUUMANA NA TRANSIT CAMP YA LIGI DARAJA LA KWANZA KATIKA MCHEZO WA KUJIPIMA NGUVU KUELEKEA MCHEZO WAO WA LIGI KUU DHIDI YA SIMBA SC.

 • TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) IKIWA NCHINI SUDAN IMEENDELEA NA MAZOEZI YA KUJIANDAA NA MCHEZO WA MARUDIANO KUWANIA KUFUZU KUCHEZA MICHUANO YA CHAN, UTAKAOPIGWA NA OKTOBA 18 DHIDI YA TIMU YA TAIFA YA SUDAN.

 • SHIRIKISHO LA RIADHA TANZANIA (RT) KUPITIA KWA KATIBU MKUU WAKE WILHELIM FRANCIS ‘GIDABUDAY’ LIMEKIRI KUWEPO NA MGOGORO WA KIUONGOZI NDANI YA SHIRIKISHO HILO HALI INAYOSABABISHA MAELEWANO HAFIFU MIONGONI MWAO.

 • MASHINDANO YA KANDA YA TANO YA MPIRA WA KIKAPU YAMEANZA LEO KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM KWA KUSHIRIKISHA TIMU MBALIMBALI KUTOKA AFRIKA MASHARIKI.

 • MECHI YA #LIGIKUUTANZANIABARA KATI YA MBAO FC VS YANGA SC SASA ITAPIGWA OKTOBA 22 BADALA YA OKTOBA 24 ILIYOKUWA IMEPANGWA AWALI KATIKA DIMBA LILELILE LA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA.

 • WEKUNDU WA MSIMBAZI, SIMBA SC WAMEPATA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA MASHUJAA FC KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOPIGWA LEO KWENYE UWANJA WA LAKE TANGANYIKA MJINI KIGOMA.

 • TIMU YA TAIFA YA TANZANIA, (TAIFA STARS) IMESHINDWA KUFUNGANA NA TIMU YA TAIFA YA RWANDA (AMAVUBI) KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOPIGWA LEO KWENYE UWANJA WA NYAMIRAMBO JIJINI KIGALI, RWANDA.

 • MKENYA ELIUD KIPCHOGE ANAKUWA BINADAMU WA KWANZA DUNIANI KUTUMIA CHINI YA SAA 2 KUMALIZA MARATHON, AKITUMIA SAA 1:59:40.2

 • NAHODHA WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA AMEFUNGA NDOA USIKU WA LEO JIJJNI DAR ES SALAAM NA NAIMA OMARY AMBAYE NI MAMA WA WATOTO WAKE WAWILI.

 • LIGI KUU SOKA YA WANAWAKE TANZANIA BARA INATARAJIA KUANZA RASMI OKTOBA 26 MWAKA HUU IKISHIRIKISHA TIMU 12 KUTOKA MIKOA MBALIMBALI HAPA NCHINI.

 • KAMATI YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI (KAMATI YA SAA 72) IMEMPA ONYO KALI MCHEZAJI ZAWADI MAUYA WA KAGERA SUGAR KWA KOSA LA KUMPIGA MATEKE MCHEZAJI WA SIMBA IBRAHIM AJIBU KWENYE MECHI ILIYOCHEZWA SEPTEMBA 26, 2019 KWENYE UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA

 • UONGOZI WA YANGA SC UMETHITBISHA KUWA MCHEZO WAKE WA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA #CAFCC DHIDI YA PYRAMIDS FC KUTOKA MISRI UTAPIGWA KWENYE DIMBA LA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA, OKTOBA 27 MWAKA HUU

 • UONGOZI WA TAWI LA TANGANYIKA LA TIMU YA SIMBA MKOANI KIGOMA PAMOJA NA MASHABIKI WA TIMU HIYO WAMEELEZEA FURAHA YAO KUFUATIA ZIARA YA SIMBA AMBAYO ITAFANYIKA MKOANI HUMO

 • WANARIADHA WALIOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA DUNIA YALIYOMALIZIKA WIKIENDI ILIYOPITA HUKO DOHA QATAR WAMEREJEA NCHINI MIKONO MITUPU NA KUPOKEWA NA UONGOZI WA MICHEZO KATIKA JIJI LA ARUSHA.

 • MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU IMEMUACHIA HURU ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA TFF, MICHAEL WAMBURA NA KUMTAKA KULIPA FIDIA YA SH MILIONI 100 KWA AWAMU TANO.

 • MICHUANO YA KOMBE LA KARUME (KARUME CUP) KWA MPIRA WA KIKAPU VISIWANI ZANZIBAR INATARAJIWA KUANZA KESHO KISIWANI PEMBA NA OKTOBA 15 KWA UPANDE WA UNGUJA, IKIWA NA LENGO LA KUMUENZI RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR HAYATI MZEE ABEID AMANI KARUME.

 • MABINGWA WA CECAFA U20 TIMU YA VIJANA YA TANZANIA BARA WAMETUA NA 'NDOO' NA KUPOKELEWA NA WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO NA VIONGOZI MBALIMBALI WA TFF.

 • NAOMI OSAKA AMETINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA WAZI YA CHINA AKIMBWAGA ALISON RISKE KWA USHINDI WA SETI MBILI BILA AMBAZO NI 6-4 NA 6-0.

 • KAIMU KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA #TAIFASTARS ETIENNE NDAYIRAGIJE AMETAJA WACHEZAJI 28 WATAKAOINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA RWANDA UTAKAOCHEZWA JIJINII KIGALI NCHINI RWANDA OKTOBA 14, 2019.  

 • NAHODHA NA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 17, ISSA MAKAMBA AMEAGWA JIJINI DODOMA AKIJIANDA NA SAFARI YA KWENDA ISRAEL KUJIUNGA NA TIMU YA KIRYAT SHMONA YA NCHINI HUMO.

 • KIKOSI CHA MABINGWA WA SOKA TANZANIA BARA, SIMBA SC HII LEO KIMEENDELEA NA MAZOEZI KWENYE VIWANJA VYA GYMKHANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA LIGI KUU YA VODACOM DHIDI YA KAGERA SUGAR UTAKAOCHEZWA ALHAMISI YA SEPTEMBA 26, MWAKA HUU

 • MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA WA TANZANIA ANAYESAKATA SOKA LA KULIPWA NCHINI UINGEREZA ABDILLAHIE ‘ADI’ YUSSUF AMEREJESHWA KWA MKOPO KWENYE KLABU YAKE YA ZAMANI YA SOLIHULL MOORS FC KUTOKA BLACKPOOL FC ALIKOSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI MWEZI MEI MWAKA HUU.

 • RAIS MAGUFULI AMETOA SHILINGI MIL. 10 KWA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU KWA WATU WENYE ULEMAVU INAYOJIANDAA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KWA WATU WENYE ULEMAVU AFRIKA (CANAF) YALIYOPANGWA KUANZA OKTOBA, MOSI NCHINI ANGOLA.

 • KOCHA MKUU WA AZAM FC, ETIENNE NDAYIRAGIJJE AMEONDOKA ASUBUHI YA LEO PAMOJA NA WACHEZAJI WATANO ALIOKUWA NAO KWENYE TIMU YA TAIFA, TAIFA STARS KWENDA KUUNGANA NA WENZAO NCHINI ZIMBABWE TAYARI KUIKABILI TRIANGLE UNITED KATIKA MCHEZO WA MARUDIANO CAF CC

 • MSAFARA WA WATU 27 UNAOJUMUHISHA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA YANGA UNATARAJIWA KUONDOKA KESHO SAA MBILI USIKU KWENDA ZAMBIA TAYARI KWA MCHEZO WA MARUDIANO WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA ZESCO UNITED KATIKA MJI WA NDOLA

 • AZAM KUJIPIMA KWA TRANSIT CAMP

  Oct 17 2019 6:39PM
 • TAIFA STARS YAJIWEKA SAWA KUIKABILI SUDAN

  Oct 17 2019 4:27PM
 • GIDABUDAY AKIRI MGOGORO RT

  Oct 17 2019 4:24PM
 • KIKAPU KANDA YA TANO YAANZA DAR

  Oct 17 2019 4:17PM
 • MBAO VS YANGA YARUDISHWA NYUMA

  Oct 14 2019 9:32PM
 • SIMBA YASHINDA KIGOMA

  Oct 14 2019 9:30PM
 • TANZANIA, RWANDA, HAKUNA MBABE

  Oct 14 2019 9:29PM
 • KIPCHOGE AICHAKAZA MARATHON

  Oct 12 2019 3:25PM
 • SAMATTA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA

  Oct 11 2019 7:15PM
 • LIGI YA WANAWAKE KUANZA OKTOBA 26

  Oct 11 2019 7:05PM
 • ALIYEMPIGA AJIBU MATEKE APEWA ONYO KALI

  Oct 11 2019 7:02PM
 • PYRAMIDS YAPELEKWA MWANZA

  Oct 11 2019 6:55PM
 • SIMBA KIGOMA

  Oct 10 2019 2:41PM
 • WANARIADHA WA TANZANIA WATUA MIKONO MITUPU

  Oct 10 2019 2:31PM
 • WAMBURA AACHIWA HURU

  Oct 7 2019 7:40PM
 • KARUME CUP YAANZA KUTIMUA VUMBI ZANZIBAR

  Oct 7 2019 5:15PM
 • MABINGWA CECAFA U20 WATUA DAR

  Oct 7 2019 4:54PM
 • NAOMI ATINGA ROBO FAINALI CHINA OPEN

  Oct 4 2019 8:22PM
 • JESHI LA TAIFA STARS LITAKALOIVAA RWANDA

  Oct 3 2019 8:35PM
 • NAHODHA SERENGETI BOYS ATIMKIA ASRAEL

  Sep 23 2019 8:36PM
 • SIMBA YAENDELEA KUIPASHIA KAGERA SUGAR

  Sep 23 2019 8:05PM
 • ADI YUSSUF ATOLEWA KWA MKOPO

  Sep 23 2019 8:01PM
 • JPM AICHANGIA TIMU YA SOKA YA TAIFA YA WENYE ULEMAVU

  Sep 23 2019 7:51PM
 • KOCHA AZAM AUNGANA NA KIKOSI ZIMBABWE

  Sep 23 2019 7:48PM
 • YANGA KAMILI YAFUATA ZESCO

  Sep 23 2019 7:40PM

VODACOM PREMIER LEAGUE - 2019/2020

TOP 10 PLAYERS

# PLAYER TEAM GOALS
1. KAGERE MEDIE SIMBA SC 6
2. MIRAJI ATHUMAN SIMBA SC 3
3. LUCAS KIKOTI NAMUNGO FC 3
4. DITRAM NCHIMBI POLISI TANZANIA 3
5. PAUL LUYUNGU LIPULI FC 2
6. ISMAIL KADA TANZANIA PRISONS 2
7. SHABAN HAMIS COASTAL UNION 2
8. PAULO NONGA LIPULI FC 2
9. SADAT NANGUO RUVU SHOOTING 2
10. DAVID MOLINGA YANGA 2