Match Results

0   : 2
 • YANGA SC
 • AZAM FC
Match Details
0   : 0
 • COASTAL UNION
 • SINGIDA UNITED FC
Match Details
1   : 3
 • NDANDA FC
 • MWADUI FC
Match Details
2   : 0
 • JKT TANZANIA
 • STAND UNITED FC
Match Details
1   : 0
 • RUVU SHOOTING FC
 • ALLIANCE FC
Match Details
0   : 0
 • MBEYA CITY FC
 • BIASHARA UNITED
Match Details
1   : 1
 • MBAO FC
 • KAGERA SUGAR
Match Details
3   : 1
 • TZ PRISONS FC
 • LIPULI FC
Match Details

POINTS TALLY TPL view all TPL view all TPL view all

TOTAL HOME AWAY
# Team PLD GD PTS
1. SIMBA SC 38 62 93
2. YANGA SC 38 29 86
3. AZAM FC 38 33 75
4. KMC FC 38 15 55
5. MTIBWA SUGAR FC 38 2 50
6. LIPULI FC 38 -8 49
7. MBEYA CITY FC 38 -1 48
8. COASTAL UNION 38 -10 48
9. NDANDA FC 38 -12 48
10. JKT TANZANIA 38 -6 47
11. ALLIANCE FC 38 -9 47
12. TZ PRISONS FC 38 -1 46
13. SINGIDA UNITED FC 38 -9 46
14. BIASHARA UNITED 38 -5 45
15. RUVU SHOOTING FC 38 -8 45
16. MBAO FC 38 -14 45
17. MWADUI FC 38 -5 44
18. KAGERA SUGAR 38 -10 44
19. STAND UNITED FC 38 -12 44
20. AFRICAN LYON 38 -31 23
1. YANGA SC 19 21 49
2. SIMBA SC 19 35 46
3. AZAM FC 19 28 45
4. MTIBWA SUGAR FC 19 19 44
5. KMC FC 19 17 36
6. JKT TANZANIA 19 11 36
7. NDANDA FC 19 8 36
8. ALLIANCE FC 19 10 35
9. RUVU SHOOTING FC 19 9 35
10. BIASHARA UNITED 19 7 34
11. LIPULI FC 19 4 34
12. MWADUI FC 19 15 33
13. SINGIDA UNITED FC 19 8 33
14. MBEYA CITY FC 19 8 32
15. COASTAL UNION 19 7 32
16. TZ PRISONS FC 19 8 31
17. STAND UNITED FC 19 2 30
18. MBAO FC 20 0 30
19. KAGERA SUGAR 18 2 28
20. AFRICAN LYON 19 -9 18
1. SIMBA SC 19 27 47
2. YANGA SC 19 8 37
3. AZAM FC 19 5 30
4. KMC FC 19 -2 19
5. MBEYA CITY FC 19 -9 16
6. KAGERA SUGAR 20 -12 16
7. COASTAL UNION 19 -17 16
8. TZ PRISONS FC 19 -9 15
9. LIPULI FC 19 -12 15
10. MBAO FC 18 -14 15
11. STAND UNITED FC 19 -14 14
12. SINGIDA UNITED FC 19 -17 13
13. ALLIANCE FC 19 -19 12
14. NDANDA FC 19 -20 12
15. BIASHARA UNITED 19 -12 11
16. JKT TANZANIA 19 -17 11
17. MWADUI FC 19 -20 11
18. RUVU SHOOTING FC 19 -17 10
19. MTIBWA SUGAR FC 19 -17 6
20. AFRICAN LYON 19 -22 5

Latest News

 • KOCHA MKUU WA TAIFA STARS ETTIENE NDAIRAGIJE AMEMPA RUHUSA KIUNGO JONAS MKUDE KUONDOKA KWENYE KAMBI YA KIKOSI HICHO KWENDA KUSHUGHULIKIA MASUALA YAKE YA KIFAMILIA.

 • WACHEZAJI ZAIDI YA 100 WAMEJIANDIANDIKISHA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU NA MUASISI WA KLABU YA GOFU YA LUGALO JENERALI GEORGE WAITARA YATAKAYOFANYIKA JUMAMOSI NOVEMBA 16 JIJINI DAR ES SALAAM.

 • UONGOZI WA TIMU YA BIASHARA UNITED MARA UMEACHANA RASMI NA ALIYEKUWA KOCHA WA KLABU HIYO AMRI SAID BAADA YA KOCHA HUYO KUTOONEKANA KATIKA KLABU HIYO KWA MUDA MREFU BILA TRAARIFA RASMI.

 • KLABU YA SOKA YA YANGA SC IMEKAMATA JEZI BANDIA ZA TIMU HIYO ZAIDI YA 1,000 ZIKIUZWA KWENYE MADUKA MBALIMBALI KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.

 • TIMU ZA KENYA NA ETHIOPIA ZIMEWASILI JIJINI DAR ES SALAAM LEO KWAAJILI YA MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE KW WANAWAKE INAYOTARAJIWA KUANZA NOVEMBA 16 HADI 25 KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX, CHAMAZI MJINI DAR ES SALAAM.

 • TIMU YA YANGA SC KUTOKA TANZANIA IMETUPWA NJE YA MICHUANO YA #KOMBELASHIRIKISHO BARANI AFRIKA BAADA YA KUPOKEA KIPIGO CHA MABAO 3-0 KUTOKA KWA PYRAMIDS FC KATIKA MCHEZO WA MARUDIANO ULIOMALIZIKA HIVI PUNDE NCHINI MISRI.

 • BEKI WA SIMBA SC SHOMARI KAPOMBE ATANGAZA KUSTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA, #TAIFASTARS’, ASEMA NI KUTOKANA NA KUTETEREKA KWA AFYA YAKE KUFUATIA MAJERAHA YA MARA KWA MARA.

 • KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA RIADHA NCHINI TANZANIA WILHEM GIDABUYI AMESEMA AMEAMUA KUJIUZULU NAFASI HIYO KWA FAIDA YA MCHEZO WA RIADHA AKIDAI KUWA NI BAADA YA KUTOFAUTIANA NA VIONGOZI WENZAKE.

 • KOCHA WA SIMBA PATRICK AUSSEMS AMETHIBITISHA KUWA MABEKI WAKE SHOMARI KAPOMBE NA MOHAMED HUSSEIN WATAKUWA SEHEMU YA MCHEZO WA KESHO DHIDI YA MBEYA CITY

 • KAMATI YA UTENDAJI YA KLABU YA YANGA CHINI YA MWENYEKITI WAKE DKT. MSHINDO MSOLLA, IMEFANYA UTEUZI WA WAKURUGENZI WATATU AMBAO WATAKUWA SEHEMU YA SEKRETARIETI MPYA YA TIMU HIYO, KUANZIA NOVEMBA 1, 2019.

 • KLABU YA SOKA YA SIMBA IMEFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WAPYA HII LEO AMBAPO IMEWATEUA ROSPA HATIBU KUWA MSAIDIZI WA MTENDAJI MKUU NA HASHIM MBAGA KUWA MKURUGENZI WA WANACHAMA NA MASHABIKI WA KLABU HIYO.

 • TIMU YA YANGA IMEONDOKA JIONI YA ALHAMISI OKTOBA 31 KUELEKEA NCHINI MISRI KUCHEZA MCHEZO WA MKONDO WA PILI WA HATUA YA MTOANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA CAF, MCHEZO AMBAO WATACHEZA NOVEMBA TATU DHIDI YA PYRAMIDS FC

 • VIGOGO WA NBA GOLDEN STATE WARRIORS WAKIWA UGENINI WAMEAMBULIA KIPIGO CHA ALAMA 141-122 KUTOKA KWA LA CLIPPERS

 • MASHINDANO YA DUNIA YA MAJESHI YAMEENDELEA KUSHIKA KASI NCHINI CHINA, BAADA YA WANARIADHA WA TANZANIA FARAJA DAMAS NA JOSEPH PANGA KUTINGA FAINALI ZA MBIO ZA MITA 5000.

 • KAMATI YA UCHAGUZI YA TFF IMEONGEZA MUDA WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU ZA UCHAGUZI MDOGO WA BODI YA LIGI TANZANIA (TPLB) MPAKA JUMATANO OKTOBA 23, 2019 SAA 10:00 JIONI.

 • TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA TANZANIA BARA “KILIMANJARO QUEENS” IMEPANGWA KUNDI A KWENYE RATIBA YA MASHINDANO YA WANAWAKE YA CECAFA IKIWA NA ZANZIBAR,BURUNDI PAMOJA NA SUDAN KUSINI.

 • MKUDE OUT TAIFA STARS

  Nov 13 2019 7:00PM
 • WACHEZAJI 100 KUCHUANA GOFU LUGALO

  Nov 13 2019 6:30PM
 • BIASHARA UNITED YAACHANA RASMI NA KOCHA WAKE

  Nov 13 2019 6:20PM
 • YANGA YAFANYA MSAKO JEZI FEKI

  Nov 13 2019 6:11PM
 • CECAFA CHALLENGE KWA WANAWAKE

  Nov 13 2019 5:49PM
 • YANGA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO

  Nov 4 2019 12:53PM
 • KAPOMBE AJIONDOA TIMU YA TAIFA

  Nov 4 2019 12:47PM
 • GIDABUDAYI AJIUZULU RT

  Nov 2 2019 9:34PM
 • KAPOMBE MAMBO SAFI

  Nov 2 2019 8:55PM
 • YANGA YAFANYA UTEUZI

  Nov 2 2019 8:54PM
 • SIMBA YAFANYA UTEUZI

  Nov 1 2019 7:47PM
 • YANGA YAIFUATA PYRAMIDS

  Nov 1 2019 7:13PM
 • WARRIORS WAIANZA VIBAYA NBA

  Oct 25 2019 5:45PM
 • WANARIADHA WA TANZANIA WATINGA FAINALI RIADHA MAJESHI

  Oct 25 2019 4:49PM
 • UCHAGUZI BODI YA LIGI

  Oct 25 2019 4:44PM
 • KILIMANJARO QUEENS YAPANGWA NA ZANZIBAR CECAFA

  Oct 25 2019 4:41PM

TANZANIA PREMIUM LEAGUE

TOP 10 PLAYERS

# PLAYER TEAM GOALS
1. KAGERE MEDIE SIMBA SC 23
2. SALIM AIYEE MWADUI FC 18
3. HERITIER MAKAMBO YANGA SC 17
4. JOHN BOCCO SIMBA SC 16
5. EMMANUEL OKWI SIMBA SC 15
6. DICKSON AMBUNDO ALLIANCE FC 12
7. DONALD NGOMA AZAM FC 11
8. AYOUB LYANGA COASTAL UNION 10
9. VITALISY MAYANGA NDANDA FC 10
10. ELIUD AMBOKILE MBEYA CITY FC 10