Match Results

0   : 0
 • GUINEA U -17
 • CAMEROON U -17
Match Details
1   : 2
 • NIGERIA U-17
 • ANGOLA U-17
Match Details
0   : 0
 • CAMEROON U -17
 • ANGOLA U-17
Match Details
0   : 0
 • NIGERIA U-17
 • GUINEA U -17
Match Details
1   : 0
 • GUINEA U -17
 • MOROCCO U 17
Match Details
0   : 0
 • CAMEROON U -17
 • SENEGAL U 17
Match Details
2   : 4
 • TANZANIA U-17
 • ANGOLA U-17
Match Details
1   : 1
 • NIGERIA U-17
 • UGANDA U-17
Match Details

AFCON U-17 GROUP TALLY

GROUP A
# Team PLD GD PTS
1. NIGERIA U-17 3 1 7
2. ANGOLA U-17 3 3 6
3. UGANDA U-17 3 2 4
4. TANZANIA U-17 3 -6 0
GROUP B
# Team PLD GD PTS
1. CAMEROON U -17 3 3 7
2. GUINEA U -17 3 0 6
3. SENEGAL U 17 3 -1 2
4. MOROCCO U 17 3 -2 1

Latest News

 • SIMBA SC IMEKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO WAKE WA ZAMANI SHIZA RAMADHAN KICHUYA NA KUMTANGAZA USIKU HUU IKIWA NI TAKRIBAN DAKIKA 60 KABLA YA 'DIRISHA DOGO' KUFUNGWA ITAKAPOFIKA SAA 6:00 USIKU.

 • MFANYABIASHARA MOHAMED DEWJI AMETANGAZA KUJIUZULU NAFASI YAKE YA UENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SIMBA AKISEMA ATABAKI KUWA MUWEKEZAJI PEKEE.

 • RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF), WALLACE KARIA AMETEULIWA KUWA MJUMBE WA KAMATI MAALUM YA KUFANYIA MAREKEBISHO MFUMO WA VYAMA VYA MPIRA WA MIGUU VYA KIKANDA BARANI AFRIKA (AZA).

 • TIMU YA TAIFA YA NGUMI YA TANZANIA IMEANZA KAMBI YA KUJIANDAA NA MASHINDANO YA AFRIKA YA KUWANIA KUFUZU KUSHIRIKI MICHUANO YA OLYMPIC ITAKAYOFANYIKA MWAKA HUU NCHINI JAPAN.

 • WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LA AZAM FC LEO WAMESHIRIKI IBADA YA KUUAGA MWILI WA MKE WA NAHODHA WAO AGREY MORIS AMBAYE AMEZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA MWANAGATI, KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM.

 • KATIBU WA KAMATI YA KOMBE LA MAPINDUZI 2020, KHAMIS SAID ABDALLAH, AMESEMA MAANDALIZI YA MECHI YA FAINALI KATI YA SIMBA NA MTIBWA SUGAR , ITAKAYOCHEZWA JANUARI 13, 2020 SAA 2:15 USIKU, YAMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 100.

 • KMC YAWATEMA WACHEZAJI WATANO AMBAO NI AARON LULAMBO, GEORGE SANGIJA, REHANI KIBINGU, MELLY MONGOLARE NA JANVIER BESALA BUKUNGU HUKU VITALIS MAYANGA AKIUZWA KWA TIMU YA NDANDA FC YA MTWARA.

 • KOCHA MPYA WA YANGA LUC EYMAEL NAN A MSAIDIZI WAKE RIEDOH BERDIEN WAMEINGIA MKATABA WA MWAKA MMOJA NA MIEZI SITA KUITUMIKIA TIMU HIYO.

 • KOCHA MSAIDIZI WA YANGA, AMBAYE PIA NI KOCHA WA UTIMAMU WA MWILI, RIEDOH BEDIEN, AMEWASILI NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI, TAYARI KUANZA KAZI YA KUMSAIDIA KOCHA MKUU, MBELGIJI LUC EYMAEL.

 • KICHUYA AREJEA SIMBA

  Jan 16 2020 8:13PM
 • MO DEWJI ANG'ATUKA

  Jan 13 2020 11:05PM
 • KARIA APATA UTEUZI FIFA

  Jan 13 2020 7:04PM
 • NGUMI TAIFA WAANZA KAMBI

  Jan 13 2020 6:50PM
 • MKE WA AGREY MORIS AZIKWA

  Jan 13 2020 5:14PM
 • MAANDALIZI FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI YAMEKAMILIKA

  Jan 13 2020 4:46PM
 • KMC YATEMA WATANO, MAYANGA ARUDI NDANDA

  Jan 13 2020 4:42PM
 • WAMEMWAGA WINO

  Jan 13 2020 4:39PM
 • KOCHA MSAIDIZI YANGA AWASILI

  Jan 13 2020 4:38PM

TOTAL U17 AFRICA CUP OF NATIONS

TOP 10 PLAYERS

# PLAYER TEAM GOALS
1. OSVALDO CAPEMBA ANGOLA U-17 4
2. WISDOM UBANI NIGERIA U-17 3
3. EDMUND JOHN TANZANIA U-17 2
4. NAJIB YIGA UGANDA U-17 2
5. ISMAILA SEIDOU CAMEROON U -17 2
6. IBRAHEEM JABAAR NIGERIA U-17 2
7. TAWAFIK BENTAYEB MOROCCO U 17 2
8. MOMO TOURE GUINEA U -17 2
9. DAVID NZANZA ANGOLA U-17 1
10. STEVE MVOUE CAMEROON U -17 1