Match Results

0   : 2
 • YANGA SC
 • AZAM FC
Match Details
0   : 0
 • COASTAL UNION
 • SINGIDA UNITED FC
Match Details
1   : 3
 • NDANDA FC
 • MWADUI FC
Match Details
2   : 0
 • JKT TANZANIA
 • STAND UNITED FC
Match Details
1   : 0
 • RUVU SHOOTING FC
 • ALLIANCE FC
Match Details
0   : 0
 • MBEYA CITY FC
 • BIASHARA UNITED
Match Details
1   : 1
 • MBAO FC
 • KAGERA SUGAR
Match Details
3   : 1
 • TZ PRISONS FC
 • LIPULI FC
Match Details

POINTS TALLY TPL view all TPL view all TPL view all

TOTAL HOME AWAY
# Team PLD GD PTS
1. SIMBA SC 38 62 93
2. YANGA SC 38 29 86
3. AZAM FC 38 33 75
4. KMC FC 38 15 55
5. MTIBWA SUGAR FC 38 2 50
6. LIPULI FC 38 -8 49
7. MBEYA CITY FC 38 -1 48
8. COASTAL UNION 38 -10 48
9. NDANDA FC 38 -12 48
10. JKT TANZANIA 38 -6 47
11. ALLIANCE FC 38 -9 47
12. TZ PRISONS FC 38 -1 46
13. SINGIDA UNITED FC 38 -9 46
14. BIASHARA UNITED 38 -5 45
15. RUVU SHOOTING FC 38 -8 45
16. MBAO FC 38 -14 45
17. MWADUI FC 38 -5 44
18. KAGERA SUGAR 38 -10 44
19. STAND UNITED FC 38 -12 44
20. AFRICAN LYON 38 -31 23
1. YANGA SC 19 21 49
2. SIMBA SC 19 35 46
3. AZAM FC 19 28 45
4. MTIBWA SUGAR FC 19 19 44
5. KMC FC 19 17 36
6. JKT TANZANIA 19 11 36
7. NDANDA FC 19 8 36
8. ALLIANCE FC 19 10 35
9. RUVU SHOOTING FC 19 9 35
10. BIASHARA UNITED 19 7 34
11. LIPULI FC 19 4 34
12. MWADUI FC 19 15 33
13. SINGIDA UNITED FC 19 8 33
14. MBEYA CITY FC 19 8 32
15. COASTAL UNION 19 7 32
16. TZ PRISONS FC 19 8 31
17. STAND UNITED FC 19 2 30
18. MBAO FC 20 0 30
19. KAGERA SUGAR 18 2 28
20. AFRICAN LYON 19 -9 18
1. SIMBA SC 19 27 47
2. YANGA SC 19 8 37
3. AZAM FC 19 5 30
4. KMC FC 19 -2 19
5. MBEYA CITY FC 19 -9 16
6. KAGERA SUGAR 20 -12 16
7. COASTAL UNION 19 -17 16
8. TZ PRISONS FC 19 -9 15
9. LIPULI FC 19 -12 15
10. MBAO FC 18 -14 15
11. STAND UNITED FC 19 -14 14
12. SINGIDA UNITED FC 19 -17 13
13. ALLIANCE FC 19 -19 12
14. NDANDA FC 19 -20 12
15. BIASHARA UNITED 19 -12 11
16. JKT TANZANIA 19 -17 11
17. MWADUI FC 19 -20 11
18. RUVU SHOOTING FC 19 -17 10
19. MTIBWA SUGAR FC 19 -17 6
20. AFRICAN LYON 19 -22 5

Latest News

 • MCHEZAJI WA ZAMANI ALIYEWAHI KUZICHEZEA TIMU ZA SIMBA NA YANGA PAMOJA NA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA ALLY YUSUPH TIGANA, AMEFARIKI DUNIA LEO KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.

 • DROO YA RAUNDI YA TATU MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS IMEFANYIKA LEO IKISHIRIKISHA TIMU 64 AMBAPO MABINGWA WATETEZI AZAM FC WATAKUTANA NA AFRICAN LYON WAKATI SIMBA WAKIWAKARIBISHA ARUSHA FC NA YANGA WATAKUWA WENYEJI WA IRINGA UNITED.

 • BENCHI LA UFUNDI LA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA BARA ‘KILIMANJARO STARS’ LIMETAJA ORODHA YA MWISHO YA WACHEZAJI 22 WANAOONDOKA KUELEKEA NCHINI UGANDA KWAAJILI YA MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE INAYOTARAJIWA KUANZA DESEMBA 7, 2019.

 • BONDIA MTANZANIA HAMIS MAYA AMESHINDA KWA TKO RAUNDI YA NNE NCHINI UJERUMANI DHIDI YA MJERUMANI PIERGIULIO RUHE AMBAYE ALIKUWA HAJAWAHI KUPOTEZA PAMBANO HATA MOJA. HAMIS MAYA ANAKUWA BINGWA MPYA WA GBC INTERCONTINENTAL KATIKA UZANI WA ‘WELTERWEIGHT

 • KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA BARA (KILIMANJARO STARS) KILICHOITWAA KWAAJILI YA MICHUANO YA MATAIFA AFRIKA MASHARIKI NA KATI (CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP) ITAKAYOFANYIKA NCHINI UGANDA KUANZIA DESEMBA 7, HADI 19 MWAKA HUU.

 • KLABU YA ARSENAL YA NCHINI ENGLAND, IMETIMUA KAZI KOCHA WAKE UNAI EMERY KUFUATIA MWENENDO USIORIDHISHA WA TIMU HIYO KWENYE MASHINDANO MBALIMBALI IKIWEMO LIGI KUU YA ENGLAND PAMOJA NA EUROPA LEAGUE.

 • MSHAMBULIAJI WA KLABU YA INTER MILAN YA ITALIA, ROMELU LUKAKU, AMEKUWA MCHEZAJI WA KWANZA WA KLABU HIYO KUFIKISHA MABAO 10 KWENYE SERIE A KATIKA MECHI 13 ZA MWANZO WA MSIMU KATIKA MSIMU WAKE WA KWANZA, BAADA YA MIAKA 70.

 • MSHAMBULIAJI WA SIMBA MEDDIE KAGERE PAMOJA NA ALIYEKUWA MCHEZAJI WA TIMU HIYO MSIMU ULIOPITA EMMANUEL OKWI NI MIONGONI MWA WACHEZAJI 20 WALIOTAJWA KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MICHUANO YA VILABU BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2019.

 • NAHODHA WA #TAIFASTARS ANAYESAKATA KABUMBU KATIKA TIMU YA KRC GENK YA UBELGIJI MBWANA SAMATTA AMETAJWA KATIKA ORODHA YA WACHEZAJI 30 WANAOWNIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA MWAKA 2019.

 • KOCHA MKUU WA TAIFA STARS ETTIENE NDAIRAGIJE AMEMPA RUHUSA KIUNGO JONAS MKUDE KUONDOKA KWENYE KAMBI YA KIKOSI HICHO KWENDA KUSHUGHULIKIA MASUALA YAKE YA KIFAMILIA.

 • WACHEZAJI ZAIDI YA 100 WAMEJIANDIANDIKISHA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU NA MUASISI WA KLABU YA GOFU YA LUGALO JENERALI GEORGE WAITARA YATAKAYOFANYIKA JUMAMOSI NOVEMBA 16 JIJINI DAR ES SALAAM.

 • UONGOZI WA TIMU YA BIASHARA UNITED MARA UMEACHANA RASMI NA ALIYEKUWA KOCHA WA KLABU HIYO AMRI SAID BAADA YA KOCHA HUYO KUTOONEKANA KATIKA KLABU HIYO KWA MUDA MREFU BILA TRAARIFA RASMI.

 • KLABU YA SOKA YA YANGA SC IMEKAMATA JEZI BANDIA ZA TIMU HIYO ZAIDI YA 1,000 ZIKIUZWA KWENYE MADUKA MBALIMBALI KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.

 • TIMU ZA KENYA NA ETHIOPIA ZIMEWASILI JIJINI DAR ES SALAAM LEO KWAAJILI YA MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE KW WANAWAKE INAYOTARAJIWA KUANZA NOVEMBA 16 HADI 25 KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX, CHAMAZI MJINI DAR ES SALAAM.

 • TIGANA AFARIKI DUNIA

  Dec 5 2019 6:24PM
 • RAUNDI YA TATU, ASFC

  Dec 5 2019 4:18PM
 • KILIMANJARO STARS

  Dec 5 2019 4:16PM
 • MTANZANIA APIGA MTU UJERUMANI

  Dec 1 2019 5:22PM
 • KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS

  Nov 29 2019 3:33PM
 • UNAI EMERY ATIMULIWA ARSENAL

  Nov 29 2019 3:31PM
 • LUKAKU AIFIKIA REKODI YA MIAKA 70 SERIE A

  Nov 25 2019 1:03PM
 • SIMBA YATOA WAWILI MCHEZAJI BORA MICHUANO YA VILABU CAF

  Nov 24 2019 6:25PM
 • SAMATTA ATAJWA KWENYE ORODHA MWANASOKA BORA AFRIKA

  Nov 24 2019 6:24PM
 • MKUDE OUT TAIFA STARS

  Nov 13 2019 7:00PM
 • WACHEZAJI 100 KUCHUANA GOFU LUGALO

  Nov 13 2019 6:30PM
 • BIASHARA UNITED YAACHANA RASMI NA KOCHA WAKE

  Nov 13 2019 6:20PM
 • YANGA YAFANYA MSAKO JEZI FEKI

  Nov 13 2019 6:11PM
 • CECAFA CHALLENGE KWA WANAWAKE

  Nov 13 2019 5:49PM

TANZANIA PREMIUM LEAGUE

TOP 10 PLAYERS

# PLAYER TEAM GOALS
1. KAGERE MEDIE SIMBA SC 23
2. SALIM AIYEE MWADUI FC 18
3. HERITIER MAKAMBO YANGA SC 17
4. JOHN BOCCO SIMBA SC 16
5. EMMANUEL OKWI SIMBA SC 15
6. DICKSON AMBUNDO ALLIANCE FC 12
7. DONALD NGOMA AZAM FC 11
8. AYOUB LYANGA COASTAL UNION 10
9. VITALISY MAYANGA NDANDA FC 10
10. ELIUD AMBOKILE MBEYA CITY FC 10